Kitaman

Kitaman ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wataman kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitaman imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitaman iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search